Wenye kuzifahamu simu za Huawei na HTC mtujuze..

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,062
Mimi nawaza kutafuta Huawei baada ya kusikia tecno ni vimeo. Naomba wenye kuzijua watufafanulie ubora wake na mapungufu yake.

Kwasababu nimekua sizioni sana Huawei madukani kama miaka ya nyuma. Namaanisha hizi za bei around laki mpaka laki 2 na nusu.
 
"....baada ya kusikia tecno ni vimeo" kwa hiyo sisi watumiaji wote wa tecno ni vimeo?? Tutake radhi twende sawa mkuu
 
HTC ni bora kuliko huwaweh....ila Tecno sio simu ya kulinganisha na huwaweh ama HTC......
 
Back
Top Bottom