msaada mx player

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
657
168
habari wadau,naomba mwenye kujua links za kustream mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
 
google mechi husika na neno vlc na iptv kwa mbele,

mfano arsenal mancgester united vlc iptv, ila inabidi mechi iwe inachezwa muda mfupi ujao.

ni ngumu kupata link ya mpira inayodumu milele na milele
 
Back
Top Bottom