nerilan
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 469
- 713
Habari ya jioni wakuu. Nauza BlackBerry Classic ikiwa kwenye condition nzuri, ina chaja yake pia na battery inatunza chaji kwa muda mrefu hata ukuwa unatumia 4G kwa ajili ya data
Kwa watakao hitaji tafadhali nicheki PM, bei naanzia 330,000/=. Maelewano yapo, niko Arusha kwa sasa.
Kwa watakao hitaji tafadhali nicheki PM, bei naanzia 330,000/=. Maelewano yapo, niko Arusha kwa sasa.