Geopoll na airtel timiza!! Angalia usiingizwe mjini kama mimi.

ray57

Senior Member
Oct 29, 2013
102
45
Habari wana jamvi.

Hii ni taarifa kwa wote na wengineo.

Asubuhi ya leo nilipokea message kutoka number +15453, ikidai ni airtel Timza na walikuwa wanafanya tafiti kwa huduma ya airtel Timiza.

Kwa moyo mkunjufu nikajibu maswali yao kwa haraka bila ya shida yeyote na baada ya kumaliza wakanirudishia ujumbe mzuri tuu wakukamilisha zoezi lao.
Sasa baada ya hiyo Kitu.

Laini yangu haisomi na nimebadili simu zaidi ya 4 bado ina nambia Insert SIM.
Yani haipo haitambuliki. Naweza kusema kama iko swapped.

Ikabidi nipige huduma kwa wateja......nimepiga mpaka videle vinaota sugu kwa kupiga hawapokei na hakuna msaada niliopata.

Ikanilazimu kwenda Facebook page yao.
Walichonambia ni tembelea duka la karibu ukarudishiwe namba yako.

Yani imeshakwendaaa hiyo. Hawakuna na cha kanambia tatizo ni nini.
But never mind.

Kama kuingizwa mjini wacha niwe mimi wa kwanza wewe usije kutumbukia shimo moja na mimi.

Kuwa makini na hiyo GeoPoll ya Timiza airtel.

Kinachoweza tokea ni Mtu ku Swap line yako na kuanza kutumia. Au kufuatilia Airtel money yako.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Sasa baada ya hiyo
Kitu.

pole mkuu
 
Back
Top Bottom