Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
naomba msaada kama kuna njia ya kuboost post bureau fb page nimejaribu kulipia lakini nimeona napata hasara nimejaribu Mara mbili wanakwambia post itawafikia watu16000 lakini inafikia watu 3000
lengo langu kufanya biashara mtandaoni yani kuwatangazia watu matangazo kwa maana hiyo najitahidi kuhakikisha nayemtangazia biashara yake apate mteja
nimefanikiwa kuwa na group 200 za biashara na kuchati
na instagram account Bei maelewano
Facebook bei maelewano
pia na website hii
Bei Maelewano
nipo katika hatua za kujipromote zaidi
mwenye ushauri pia nahitaji njia zipi naweza nikapitia ili nipate pesa