Storage ya simu kuwa full mara kwa mara

Storage ya simu kuwa full mara kwa mara

halloperidon

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
2,101
Reaction score
5,267
Wataalam

Simu yangu inakuwa full mara kwa mara, inanipasa nifute mapicha na video mengi ndio space inakuwepo, lakini baada ya siku mbili tatu inakuwa imejaa tena hata kama nimedowlod au nimesave vitu vichache

Tatizo litakuwa nn?

Simu ni samsung galaxy note 10.1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unadownload sanaa....izo cache na junk files...download sd card cleaner
Wataalam

Simu yangu inakuwa full mara kwa mara, inanipasa nifute mapicha na video mengi ndio space inakuwepo, lakini baada ya siku mbili tatu inakuwa imejaa tena hata kama nimedowlod au nimesave vitu vichache

Tatizo litakuwa nn?

Simu ni samsung galaxy note 10.1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Restore simu mkuu anza upya hata hayo ma apps pia hayatokusaidia zaidi ya kuendelea kukujazia memory
 
Back
Top Bottom