Msaada:Fridge kutotoa ubaridi upande wa chini

Msaada:Fridge kutotoa ubaridi upande wa chini

rlhaule

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
686
Reaction score
181
Habari wana jamvi!

Kabla sijakurupuka kuita fundi naomba msaada wa mawazo yenu fridge langu lina milango 2 mlango wa juu {freezer} ligandisha vizuri tu, lakini Mlango wa chini ambao huwa linatoa ubaridi tu sasa hivi halitoi ubaridi kabsa ila kwa mlango wa juu linaendelea kugandisha ni nini tatizo hapa na ufumbuzi na nini ufumbuzi wake?
Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo itakuwa Gas ndio shida hata mie nimeshapatwa na shida hiyo geuza nyuma angalia kwenye compressor utaona kama mafuta ujue gas ilivuja
 
Back
Top Bottom