[emoji15]Chochea kuni tu
Ipige window upya hapoKama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu
sent by IPhone 6 using jamii forum app
Ndugu yani wewe ni Muhenga aisee mpaka leo una Dell Latitude D630 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu
sent by IPhone 6 using jamii forum app
🙂🙂Ndugu yani wewe ni Muhenga aisee mpaka leo una Dell Latitude D630 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha faint screen?Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu
sent by IPhone 6 using jamii forum app
Inaonesha faint screen?Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu
sent by IPhone 6 using jamii forum app
Inaeza kua harddisk imekufa au jalibu ku install upya window ikimaliza jua disk iko pow icpomaliza apo mikono juu mwendo wa mateka [emoji6] [emoji6]Kama kichwa hapo juu kionekanavyo,nina laptop yangu aina ya Dell Latitude D630 nikiiwasha haimalizi kuwaka inaonyesha Giza tu,
Msaada wenu wakuu
sent by IPhone 6 using jamii forum app
Jamaa etu ni mhenga asieacha asili
Hapa akishafanya hivyo juu tulivyomwambia ndio tutajua jinsi ya kumsaidia...
Wahenga wenzake wa D610 na D620 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa akishafanya hivyo juu tulivyomwambia ndio tutajua jinsi ya kumsaidia...
Kwa sasa yuko ndotoni anawaota wahenga wamsaidie ku troubleshoot PC.
chamsingi angalia majibu mazur na uyafanyie kazi, kwa mm naona ishu ni window aidha iwekwe nyingine au kurepea hyoMbona sasa mnajib kwa makejeli sana au ndo msaada wenyewe?
sent by IPhone 6 using jamii forum app