Msaada kwa walio na ufahamu na ujuzi na Be toward.

kilundilo

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
54
Reaction score
6
Wakuu nataka kununua gari,,, nimeenda kwa be forward ili niagize hiyo gari,,, nikapewa profoma invoice ili nikalipie,, nikaambiwa Nina option mbili,, kulipia mojakwamoja be forward Japan,, au be forward Tanzania,,, naombeni msaada kwa walio na ujuzi na hii kampuni,,, IPI ni njia sahihi,,, asanteni

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Sali utapata jibu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nataka kununua gari,,, nimeenda kwa be forward ili niagize hiyo gari,,, nikapewa profoma invoice ili nikalipie,, nikaambiwa Nina option mbili,, kulipia mojakwamoja be forward Japan,, au be forward Tanzania,,, naombeni msaada kwa walio na ujuzi na hii kampuni,,, IPI ni njia sahihi,,, asanteni

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Zote ni sawa tu...ila mm nililipia japan kbsa...ingawa kuna gharama ya kutuma hzo pesa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nataka kununua gari,,, nimeenda kwa be forward ili niagize hiyo gari,,, nikapewa profoma invoice ili nikalipie,, nikaambiwa Nina option mbili,, kulipia mojakwamoja be forward Japan,, au be forward Tanzania,,, naombeni msaada kwa walio na ujuzi na hii kampuni,,, IPI ni njia sahihi,,, asanteni

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kuwa makini na website hizi;
1. Betoward X
2. Befoward X
3. BEFORWARD
Ya 3 ndiyo sahihi, kuna mitandao fake na wengi wamelizwa
 
Back
Top Bottom