The most powerful system (SuperComputer)

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
406
250
17_super_computer__1490085f.jpg

Tianhe-2, which means Milky Way-2, operates at 33.86 petaflop/sec, which is the equivalent to 33,860 trillion calculations per second. Meanwhile, an average high-performance computer approximates 54.9 petaflop/sec. The supercomputer additionally uses a 3.12 million processor cores, including Intel's Ivy Bridge and Xeon Phi chips to conduct the rapid calculations.

Aisee hii kitu sio mchezo...
 

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,627
2,000
Hiyo computer ipo china tu.
Hapo DIT iwepo kwa Nazi gani?

kwa nilivyosikia kuna mpango fulani wanataka kuufanya wa kidaktari, yaani mgonjwa anafanyiwa operation na madokta hapa bongo kwa instructions za madokta huko india na nchi nyinginezo wakiwa wanaonana na huyo dokta wa nje kuona kila kitu kwenye mwili wa mgonjwa as he/she is there through hiyo supercomputer!
Ila ndo hivo computer ipo mipango haijulikani imeishia wapi!
Sijui kwa nini wameileta DIT na wasipeleke muhimbili ila nahisi ni kwasababu computer inatakiwa iwe chini ya uangalizi wa wataalamu wa computer na sio hao madaktari watakaoitumia!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom