Monkey D. Luffy
Member
- Jul 19, 2014
- 38
- 33
huku mkoani hasa nikiwa nimesubscribe kwa unlimited ya Mwezi unakuta mara kadhaa kwa wiki spidi inakuwa 2g, ukipiga wanasema kuna tatizo ila saa sita usiku spidi lazima iwe nzuri sometimes mpaka siku kadhaa zinapita
Sent from My BlackBerry Passport
Sent from My BlackBerry Passport