Hongera continental

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Nawashukuru sana continental kwa kuja upya mmenikosha moyo wangu

Ni muda mrefu wateja wa continental walikuwa wamekata tamaa baada ya kuweka machannel ambayo yalikuwa yanachosha watazamaji

Lakini Mambo sasa yako vizuri mno channel kibao
ELIMU,Dini,Ujasiriamali, Michezo,Tamaduni nk
Vimo ndani ya continental
Yaani
Mambo mulua kweli
Karibuni wote continental Decoder
Mfaidike sana.
 
Heb nitajie baadhi ya chaneli za muhimu zilizoongezwa ili nami nishawishike poa
Kuna Agape TV 1 fox sports Aljazeera Docu Tbn TV, zee cinema jctv, fox2 sports, Yadahtv, Zbc1,Zbc2,city TV,Dubai TV,trenet TV, muvi TV Africa,Love world TV, Dubai one, Nollywood,miracle TV nk
 
Kuna Agape TV 1 fox sports Aljazeera Docu Tbn TV, zee cinema jctv, fox2 sports, Yadahtv, Zbc1,Zbc2,city TV,Dubai TV,trenet TV, muvi TV Africa,Love world TV, Dubai one, Nollywood,miracle TV nk

Na zile za kipuuzi za star ,,,star,,,,star,,,,star...... Bado zipo?

Channel nyingi hadi zimewashinda kuzimanage, wanarudiarudia vipindi kwa wiki kipindi kimoja kinajirudia mara 10
 
Na zile za kipuuzi za star ,,,star,,,,star,,,,star...... Bado zipo?

Channel nyingi hadi zimewashinda kuzimanage, wanarudiarudia vipindi kwa wiki kipindi kimoja kinajirudia mara 10
Hizo channel zipo
Sisi tunakula kuku kwa mrija
Channel 102
Kwa mwezi unalipia 11999 tu!
Au tsh. 6999, 15 days
 
Naona startimes wamebugi, channel zinaonekana free kwao hadi kwenye vingamuzi vya continental unapata channel za startimes
 
Karibuni na huku pia.
Tunakula chatu kwa mrija.
ee53ee2ca8c308215700fc9366191c62.jpg
 
Sioni hata chaneli ya maana kati ya hizo ulzotaja, anyway inategemea na mtumiaji mwenyewe kwani kibaya kwangu kizuri kwa mwingine.
 
Kuna Agape TV 1 fox sports Aljazeera Docu Tbn TV, zee cinema jctv, fox2 sports, Yadahtv, Zbc1,Zbc2,city TV,Dubai TV,trenet TV, muvi TV Africa,Love world TV, Dubai one, Nollywood,miracle TV nk
Nimependa hizo channeli za kiroho kama Agape tv na Trenet ila kwasasa nazipata kwenye TING maana wameachia hizo zote free ukiwa na receiver ya HD yoyote.
 
Duh hizo mnazipataje mbona kwangu zipo 43 tu?
Unachotakiwa kufanya
Badilisha kwanza uelekeo Kama bado hujabadilisha ubadilishe dish lako lielekee mashariki

2, Ingiza freequnce 11665
Symbole rate 45000
Polarization v

Baada ya hapo utaona channel 46
Ingiza tena
Freequence zingine kwa satellite
Yoyote ile iwe Amos au asiasat
Ingiza freequence hizi hapa 11596
Symbole rate 30000
Polarization v

Baada tu ya muda wa sekunde 30
Utapata channel 102 bila wasiwasi
Channel 56 hizo zote no Bure
Channel zile za awali 46 ni zakulipia

Nadhani utakuwa umeelewa mkuu!
 
Back
Top Bottom