Simu yangu haisomi picha

Simu yangu haisomi picha

nganga jr

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
69
Reaction score
40
Wakuu kama kichwa kinavyosema tatizo hili limeanza hivi karibuni Nikipiga picha haionekani Kwenye gallery inaandika "cant generate thumbnail"

Nawasilisha
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nganga bana. Cyo storage capacity angalia storage default ipo kwenye memory card au internal storage...ukipiga picha zinahifaziwa kwenye memo au kewnye simu ndo nacho maanisha.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Basi punguza pixel za picha. Yaani size ya picha mfano kwenye setting ya camera yako kunasehemu unaweza kuset mb za picha utazopiga i.e 135kb,850kb ,2mb 6mb n.k n.k , kama umeset mb kubwa itakataa kufunguka au ita load sana wakat wa kufungua au itafunguka kidogo kidogo . Fanya kwanza hizo setting uone kama kutakuwa na positive results.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Oy fanya hv fungua file la camera kisha nenda kwenye setting halafu click reset setting ikishindikana jaribu kuni PM huwenda nikatatua tatizo lako
 
Back
Top Bottom