Msaada wa tatizo hili la TV

Msaada wa tatizo hili la TV

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
5,164
Reaction score
6,552
Nimeunganisha deki na TV. Nikichomeka USB Ili nisikilize music. Lakini haifanyi kazi. Inaniandikia hivi
7323cfd682224f85f57af3445fb81b26.jpg
fb852a6ca2762152b6a1d588609bc951.jpg

Nimehangaika naona siwezi kutatua. Msaada wenu. Natumia HOTPOINT TV.

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Kwenye deki.

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
ni mara ya kwanza kuchomeka kwenye deki?
jaribu hivi
-ichomoe kwenye deki chomeka kwenye tv kama tv yako ina usb port
-ibakishe kwenye deki chukua remote then tafuta mahala kumeandikwa usb au input kisha chagua usb
 
Sio Mara ya kwanza. Zamani nilikuwa natumia tu Kawaida. Ila kwa sasa Ndo inasumbua.
=TV haina sehemu ya USB Mpaka nitumie deki.
=Na kuhusu kuweka USB kwenye remote. Naweka lakini Ndo hivyo haifanyi kazi

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Sio Mara ya kwanza. Zamani nilikuwa natumia tu Kawaida. Ila kwa sasa Ndo inasumbua.
=TV haina sehemu ya USB Mpaka nitumie deki.
=Na kuhusu kuweka USB kwenye remote. Naweka lakini Ndo hivyo haifanyi kazi

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
sijaelewa maana ya hilo neno hapo kwenye tv lakini pengine inaona kama ina updetiwa hio deki, huwezi kushusha chini ukaclick hilo neno read?
 
Inakataa nikitaka kushusha

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Yaani kishajiandika hivyo. Hilo neno inatoka

sasa hapo itabidi ufanye trial and error
- jaribu flash nyengine ya miziki kwenye hio deki
-flash yako jaribu kuiformat na kueka tena miziki
-flash yako jaribu kuichomeka kwengine

hapo utajua tatizo ni flash au deki.

ila nnavyohisi inawezekana kwenye flash kuna file ambalo linasababisha deki iwe hivyo,

hio deki ni aina gani? mchina?
 
Hayo maandishi yanatoka kwenye deki so hapo tatizo so TV
Kumbe. Inaanza Kama inasoma USB. Halafu ghafla yanakuja hayo maandishi. Kisha yanapotea. Deki haiplay.
Nifanyaje sasa kutatua Hilo tatizo??

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
sasa hapo itabidi ufanye trial and error
- jaribu flash nyengine ya miziki kwenye hio deki
-flash yako jaribu kuiformat na kueka tena miziki
-flash yako jaribu kuichomeka kwengine

hapo utajua tatizo ni flash au deki.

ila nnavyohisi inawezekana kwenye flash kuna file ambalo linasababisha deki iwe hivyo,

hio deki ni aina gani? mchina?
Ngoja baadae nikaangalie ni aina gani.
Nikiweka sehemu nyingine inafanya kazi vizuri tu

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Ishu ni deki hiyo sijui brand gani hiyo ila kuna hii inashabihiana na hiyo ila ni ya gari.

Back
Top Bottom