Tablet nzuri inahitajika

Tablet nzuri inahitajika

Mim nnayo LENOVO YOGA TABLET B6000-H
Laini moja ya kukata internal 16GB ila haipigi SIMU inatumika kwa internet tu labda na message za kawaida vinginevyo labda WhatsApp call tu nlikuwa naitumia chuoni kwa sasa sina kazi nayo kama vp tuwasiliane mwisho wa bei kabisa ni laki mbili tu haishuki wala haipandi. Kuhusu kukaa na chaji ni kama NOKIA ya tochi hadi unasahau ulicharge lini.
 
Attachments

  • IMG_20170725_133438.jpg
    IMG_20170725_133438.jpg
    113 KB · Views: 119
  • IMG_20170725_133521.jpg
    IMG_20170725_133521.jpg
    73.3 KB · Views: 108
Mim nnayo LENOVO YOGA TABLET B6000-H
Laini moja ya kukata internal 16GB ila haipigi SIMU inatumika kwa internet tu labda na message za kawaida vinginevyo labda WhatsApp call tu nlikuwa naitumia chuoni kwa sasa sina kazi nayo kama vp tuwasiliane mwisho wa bei kabisa ni laki mbili tu haishuki wala haipandi. Kuhusu kukaa na chaji ni kama NOKIA ya tochi hadi unasahau ulicharge lini.

Inatumia OS Gani?
Version Gani?
Uko Wapi?
 
rejea kichwa tajwa hapo, mwenye nayo tafadhar tfanye biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ninayo Tablet ya Tecno droid pad 7c nilikuwa naitumia chuoni saivi nimemaliza sina ishu nayo natafta simu ndogo. Internal 10GB.
Inatumia cellular system.(double sim card) ina 3g.
Ila camera sio nzuri sana.
Naiuza 170000

Ipo katika hali nzuri maana sina muda mrefu tangu nianze kutumia.
2b16a73bcd2181ca0f720f29e61ac691.jpg
IMG-20170821-WA0002.jpg
IMG-20170821-WA0007.jpg
IMG-20170821-WA0004.jpg
IMG-20170821-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu.
naomba msaada ku- unlock Vodafone tablet vfd 1100 isome mitandao yote kwa sasa inasoma Vodacom tu.
Naomben sana sina hela nying nitalipia 5000 tu. Kama yupo PM au 0712925664 tufanye kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom