Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nataka kununua kwa wale wataalamu, je naweza kupata Local TV za hapa Tanzania na nchi za jirani.? Kama kuna maelezo ya ziada sio mbaya ukiniongezea. HDMI 1080P VGA DVB-T2 DVB-T TV Box AV to VGA...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu; Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
5K Views
nawasilisha wakuu naomba msaada kwa atakaye nisaidia njia kupata hz application ukiacha kwenye store
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habar watz wenzangu naomba msaada wa namna ya kuweka maandishi ya italic kwenye simu ya tecno n8 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani huko halotel internet inapatikana? Hapa hakuna sasa ni saa kama tatu hivi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Intel leo wamezindua generation ya nane ya CPU zao itakayojulikana kama kabylake refresh, kwa sasa wamezindua CPU za laptop tu, uzinduzi wa desktop na tablets utafuatia baadae. Kwa wale...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wahandisi wa Masuala ya Kompyuta nisaidieni. Ninayo computer hapa DELL INSPIRON 2200 inatumia Windows XP. Kinachonitatiza ni kwamba najaribu kutumia simu aina ya Samsung ili kupata wireless kwa...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Shikamoo wakubwa wadogo zangu hamjambo. Wenzangu mambo Me mgeni sana mitandao ya kijamii. Kuna mtu alisema unaweza kuweka whatsaap za no 2 kwa Simu moja....... Anaye anielekeze jaman
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ya muda huu, naomba mnisaidie wana jamvi television haionyeshi wakati nimeconnect na dekoda ya DStv, shida inaweza kuwa nini? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
970 Views
Habari za asubuhi wanajamvi? Naomba kueleweshwa ni battery saver gani kutoka play store inayoaminika zaidi kwa kulinda charge ya simu ya android? Nimejaribu BATTERY DOCTOR na DU BATTERY SAVER...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu wadau, Nahitaji kujua namna ya kuangalia online programms za TV kwa kuconnect na simu. samsung note 8
1 Reactions
10 Replies
6K Views
nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller pia nikatoa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
habari wadau..naomba msaada mnipatie drivers za simu tajwa hapo juu au walau link mana nimejitahidi kutafuta sijafanikiwa
1 Reactions
0 Replies
596 Views
Wakuu naomba kuliza kwa yeyote aliewahi kununua kitu online kupitia kikuu web Je ni changamoto zipi zinatokea kabula hujapata mzigo ulio nunua Na je mzigo huchukua wastani wa siku ngapi hadi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Simu yangu tajwa hapo juu imepata tatizo la IMEI Number, sijui chanzo ni nini ila imetokea tu IMEI Number imebadilika. Nimehangaika saana na rafiki yangu ila bado inasumbua...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie namna ya kununua bidha kutoka online Amazon.Mi niko Tz na nina Visacard ya crdb. Jamani naomba msaada kwa wenye uzoefu anijuze ili ninunue bidhaa. Pia,nauliza kama bidhaa zao ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani kuna application yoyote ya restore namba za simu zizopigwa na kufutwa?
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari wakuu, Natumai mu wazima. Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa mkuu chief mkwawa kwa ule uzi wake kuhusu how to activate PayPal account. Kwa mimi nilishajiunga paypal kitambo simce 2012...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Hii namba 0754125125 - JOSEPHINE KABUNGA) imekuwa ikijileta kwenye setting za simu yangu automatically kwa ajili ya ku-divert Calls when unreachable! Nikiiondoa baada ya muda...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…