Ushauri nahitaji kununua Tecno W3

Ushauri nahitaji kununua Tecno W3

Usithubutu kununua tecno w3, nunua W3LTE au W3X. Hizi w3 zinaugonjwa wa kuzimika zenyewe na haziponi.
 
mkuu bora ununue cm ya aina nyingine mm natumia w3 lite ni mbovu sana...sikushauri ununue tecno
 
Back
Top Bottom