IJUE IDADI YA WEBSITES ZILIZO HACK-IWA LEO

IJUE IDADI YA WEBSITES ZILIZO HACK-IWA LEO

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
488
Reaction score
311
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH

IJUE IDADI YA WEBSITE ZILIZOHACK-IWA, INTERNET USERS N.K WA SIKU YA LEO.

HATUA
1. Ingia Google.Kisha Nenda Sehemu Ya Kuandika Url.
2. Andika www.internetlivestats.com Kisha Search.

Baada Ya Hapo Utaona Idadi Ya
1. Internet Users In The World
2.Websites
3.Emails Sent
4.Google Searches
5. Blog Post written
6. Tweets Sent
7.Video Viewed On YouTube
8. Websites Hacked
9. Skype Calls
10. photos Uploaded On Instagram

Ebhana Eeh Vitu Vingi Mno, Kuviona Vyote Tazama Video Hii.

Kilichonishangaza Mno Ni Namba 8, Wewe Je?
 
Hii haina tofauti na zile apps za Google Playstore za kupima HIV/AIDS kwa finger print!
eti "Electricity used today for Internet" eti "Computer or Smartphones sold today"
Baada ya kutumia Internet kuelimisha watu vitu vya msingi mtu anaweka Video kuonesha hiyo Crapy website isiyokua na uhalisia wowote!

Hii ni pure Gibberish
 
Huwezi Kuwa Sahihi Kwa Kila Jambo Mzee.

Kipi kilichokushawishi Kuinasibisha Na Hizo Apps? Au Ndo Shutuma Zisizo Na Mashiko.
 
Back
Top Bottom