Wataalam wa computer hasa Excel

Wataalam wa computer hasa Excel

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Naombeni mnisaidie, nawezaje kuandika barua kwenye excel na kuituma iende kwa watu hata watatu?

Je, excel inauwezo wa kuandika barua? Je, nawezaje kuituma kwa email ikawa na wapokeaji wawili ama watatu kwa wakati mmoja.
 
unaweza andika na excel ukitaka, ila word ndio inapendeza zaidi

na unaweza tuma hata kwa watu bilioni 1, ni wewe tu, sababu hakuna limit ya kutuma email,
 
Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application
 
Ndio mnielekeze sasa, kama excel inawezekana naombeni nielekezwe kuwa nafanyaje, kama ni word pia nielekezwe kuwa natumaje kwenda kwa watu wengi.
Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application
 
Barua unaandika kwenye ms word. Tumia YouTube kujifunza hizi package za ms office maana inaonesha bado ujapata mafunzo kuhusiana na ms application
Sijapata mafunzo ndio, nielekeze sasa
 
Back
Top Bottom