Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Habari za muda huu jamani wote kwa pamoja, napenda kushiriki na wana JF mambo mengi sana lakini bado sijajua taratibu zikoje kuhusu kupost kutu.
Kwa mfano mpaka sasa sijajua kabsa kuweka picha humu ikakaa,pili je ukitoa funzo fulani linalohushisha link je haifai kuweka link humu???
Naombeni ushauri ushauri jamani?
Kwa mfano mpaka sasa sijajua kabsa kuweka picha humu ikakaa,pili je ukitoa funzo fulani linalohushisha link je haifai kuweka link humu???
Naombeni ushauri ushauri jamani?