Naomba Drivers za Touchscreen pc

FOdd

Senior Member
Sep 17, 2017
127
172
Wakuu nili shift from Windows 10 to Window 8.1 sasa baada ya kupiga chini win 10 nilikuta Win 8 ina miss driver nyingi sana nktafuta Driverpack solution ya offline na nka install izo driver sasa karibu kila kitu kimerudi kasoro Driver ya touchscreen HID complaint Touchscreen nimejaribu kuisearch wee ili ni install ata manual siipati mwenye driver za Touchscreen anipe wakuu, Natumia Asus Flipbook
 
ku downgrade windows bila kuangalia kama pc yako inakubali si jambo la busara, na driverpack hawatengenezi driver bali ni komba komba wanachukua drivers kila mahala na kuzieka pamoja.

uhakika ni kuangalia site husika, nenda site ya asus search model hio ya laptop uangalie drivers kupitia site ya asus.

na pia flipbook tu haitoshi, inabidi ujue full model, mfano TP300LD. unaweza ipost hapa naweza kukusaidia kuitafuta.
 
Chief Sawa mkuu model yake ni TP200SA FV0108TS ASUS MKUU INAJIKUNJA
 
Drivers za laptop hp envy x360 zimecorrupt, before nilikuwa natumia gafla zikaja kucorrupt, sitaki kupiga windows tena kuja njia nyingine za kuweza kuzirudisha kama awali?
 
Chief unajua nili switch to window 8 kwasababu keyboard ilikuwa inasumbua sumbua muda mwingi inakuwa hai type hio keyboard mkuu ila tangu niingie win 8 tatizo hakuna tena
kwenye hio win 8 jaribu kwenda device manager kisha nenda human interface device angalia kama kuna touch screen hapo, kama ipo jaribu kudisable na ku enbale inaweza kubali.

alternative jaribu kueka hio ya win 10 kwenye compability mode inaweza pia kubali.
 
Hakuna kabisa chief afu ata keyboard natyp hait type baada ya kupiga win 10 ila driver za keyboard zipo mkuu
umepiga win 10 tayari?

alternative nenda control panel then kwenye hardware
jaribu ku add new then iache iscan kama itaiona hio touch.
 
umepiga win 10 tayari?

alternative nenda control panel then kwenye hardware
jaribu ku add new then iache iscan kama itaiona hio touch.
Poa boss nimepiga Yeah ten ila recommended ni 10 home edition Mimi nimepiga 10 pro, Nkifika home ntafanya ulivosema
 
Poa boss nimepiga Yeah ten ila recommended ni 10 home edition Mimi nimepiga 10 pro, Nkifika home ntafanya ulivosema
mkuu usipende kufanya mambo kinyume na manufacture, eka 10 home then tumia key yako iliokuja na laptop ku activate, hapo utapunguza ghasia,

then ukishaweka windows eka bundle ya maana iache iji update.

alternative download iso ya creator update hii win 10 iliotoka juzi ili ikupunguzie tabu ya ku update.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom