yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,922
- 4,181
Salama wakuu?
Anayejua kuhusu mafreezer ya kampuni ya Syinix naomba dondoo zake muhimu kuhusu ubora wake.
Natanguliza shukrani.