JINSI YA KUBADILI SAA & TAREHE KWA KUTUMIA CMD

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

Na'am, Kama Kawaida Yetu Kufunzana Mambo Mbalimbali Mpaka Ujinga Utukimbie.
Leo Tutajifunza JINSI YA KUBADILI SAA & TAREHE KWA KUTUMIA CMD.

IKO HIVIIIIIIIIIII
1. Ingia katika CMD Kwa Njia Yoyote (Kuna Njia Nyingine Za Kuingia Katika CMD). Njia Mojawapo Ni Kubofya WIN KEY (Button Yenye Logo Ya Window) Kisha Andika CMD, Kisha Bofya ENTER

2.KIisha Andika DATE kama unataka Ubadili TAREHE au TIME kama unataka ubadili SAA. Bofya ENTER

3. Ikiwa unataka kubadili SAA utaandika muda uutakao kwa kuzingatia AM & PM kulingana na Wakati Husika
Na ikiwa unataka kubadili Tarehe utaandika katika mfumo kama huu 23-10-2017

4. Bofya ENTER.
______________XXXXX/_____________

VIDEO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom