Ni muda sasa simu yangu imezingua upande wa display nimejaribu kutafuta vifaa vyake nimekosa mafundi wanadai vifaa vyake hapa bongo hakuna naomba msaada kwa anayefahamu
Ndo naisikia kwako leo sijawahi iona hata Google labda ni gugo kidogo namimi nitoe ushamba ila kama ushaambiwa mkuu haina Vifaa Muhimu apo tafuta fundi anaejua simu kinaga ubaga Mpe akuangalizie hyo simu yako itakua inaingiliana na simu gani...kama unaitaman simu sana huna jinsi apo zaidi ya kufoji.Ni muda sasa simu yangu imezingua upande wa display nimejaribu kutafuta vifaa vyake nimekosa mafundi wanadai vifaa vyake hapa bongo hakuna naomba msaada kwa anayefahamu
shukrani mkuuNdo naisikia kwako leo sijawahi iona hata Google labda ni gugo kidogo namimi nitoe ushamba ila kama ushaambiwa mkuu haina Vifaa Muhimu apo tafuta fundi anaejua simu kinaga ubaga Mpe akuangalizie hyo simu yako itakua inaingiliana na simu gani...kama unaitaman simu sana huna jinsi apo zaidi ya kufoji.
Hicho kilichozngua toa weka cha simu nyingine ya aina hyo vinavyoingiliana kila simu ina pacha mwenzake so tafuta pacha wa hyo cmu yako Fanya mambo,tumia simu.
Mkuu unawachanganyia watu madawa, hawakuelewi, weka wazi ni brand gani.Ni muda sasa simu yangu imezingua upande wa display nimejaribu kutafuta vifaa vyake nimekosa mafundi wanadai vifaa vyake hapa bongo hakuna naomba msaada kwa anayefahamu
Ndio simu gani hiyo
Ndo naisikia kwako leo sijawahi iona hata Google labda ni gugo kidogo namimi nitoe ushamba ...........................
.
Weka picha tuione
BestBuy Easy Phone
NIMEKUELEWA MKUU NI
Mambo ya makosa ya kisarufi hayo, hizo simu zinaitwa "Best Buy" siyo "BestBuy", kuna space katikati hapo, ukisema "BestBuy" unamaanisha online shopping site. Isiwe kesi, fuata ushauri wa Father of Truth, tafuta spea za simu zinazoendana.NIMEKUELEWA MKUU NI BestBuy Easy Phone
Kuna fundi amedai haitowezekana kupataMambo ya makosa ya kisarufi hayo, hizo simu zinaitwa "Best Buy" siyo "BestBuy", kuna space katikati hapo, ukisema "BestBuy" unamaanisha online shopping site. Isiwe kesi, fuata ushauri wa Father of Truth, tafuta spea za simu zinazoendana.
Hapo Mkuu hamna namna zaidi ya kuagiza nchi za nje, usijihangaishe sana kuagiza Ulaya au Asia, hata jirani tu Kenya zipo, bei za Kenya ni rahisi kuliko Tanzania.Kuna fundi amedai haitowezekana kupata
hii brand adimu sana bongo mmmhsawa
Hapo Mkuu hamna namna zaidi ya kuagiza nchi za nje, usijihangaishe sana kuagiza Ulaya au Asia, hata jirani tu Kenya zipo, bei za Kenya ni rahisi kuliko Tanzania.
Sijajua namna ya kuagiza huko mkuu naomba inmfo kidogo mkuuHapo Mkuu hamna namna zaidi ya kuagiza nchi za nje, usijihangaishe sana kuagiza Ulaya au Asia, hata jirani tu Kenya zipo, bei za Kenya ni rahisi kuliko Tanzania.
Cha kwanza kabisa, jisajili (sign up) kwenye online shop unayotaka ili uwe mteja au muuzaji.Sijajua namna ya kuagiza huko mkuu naomba inmfo kidogo mkuu
Asante sana mkuuCha kwanza kabisa, jisajili (sign up) kwenye online shop unayotaka ili uwe mteja au muuzaji.
Kuagiza kitu online kunatofautiana kati ya web na web, sababu ni "payment method", kila online shopping web ina payment method yake, kabla ya kuagiza product angalia payment method wanayotumia, pia usiagize tu harakaharaka, kuna matapeli wamejaa, kujua kama muuzaji ni tapeli au la, angalia comment za wateja mbalimbali kwenye profile yake, ukiona wanam-comment vibaya, ujue huyo ni tapeli, ukiona wana-comment positive, huyo ni mwaminifu.
Mimi sina uzoefu sana kwenye kuagiza vitu online, ngoja wazoefu waje waendeleze nilipoishia.
Usichoke kuuliza Mkuu.