Namna mitambo ya jeshi la Russia inavyofanya kazi kulinda anga

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
87
Hii ni mitambo inayoitwa S400 air defense system hii ni toleo lenye ubora zaidi ya S300 ambalo walikua nalo, hii ni mitambo inayofanya kazi ya kulinda anga na hutengenezwa nchini urusi.

Ukiacha hizo za nyuma saizi wanatengeneza toleo jipya kabisa lenye ubora na ufanisi wa hali ya juu ambalo ni S500 air defense system jeshi la urusi litakua jeshi bora zaidi.

urusi.jpg
uru.jpg


 
Back
Top Bottom