Msaada juu ya hili tatizo langu

Msaada juu ya hili tatizo langu

okonkwo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
2,419
Reaction score
1,739
Wapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!!

Naomba msaada wa namna IPI niitumie kuzuia simu yangu kupokea miito( calls) ilihali Niko hewani,

Nimejaribu kwenda play store app nyingi nikipakua na kuanza kupiga simu inaita halafu inaandika user bussy

Lengo LA Mimi ni
kupata app ambayo MTU akinipigia simu aambiwe sipo hewani au simu ijam tu

Hapa nataka kuzuia all incoming calls kwa sababu kuna MTU ananisumbua sana no kubadili laini sitaki au kuzima simu ziwezi,
 
kuzuia watu wote au mtu mmoja?
 
ingia ply store tafuta hii phone master hautojutia.. hii unaeza ukazuia calls na txt had kwa namba ambazo hazpo kwe phone book ako..
 
wanaoweza kufanya hivyo ni
1. mtandao wa simu
2. mtengeneza os au simu

app haiwezi kukusaidia hapo sababu haina ruhusa kudeal na vitu kama hivyo ndio maana unaona inakuwa hivyo.

mitandao ya simu inakuwa na huduma kama call barring, hii inablock simu zote unazopigiwa unaweza kuitumia kublock.

au angalia kama kwenye simu kuna setting ya kublock hizo call.
 
Wapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!!

Naomba msaada wa namna IPI niitumie kuzuia simu yangu kupokea miito( calls) ilihali Niko hewani,

Nimejaribu kwenda play store app nyingi nikipakua na kuanza kupiga simu inaita halafu inaandika user bussy

Lengo LA Mimi ni
kupata app ambayo MTU akinipigia simu aambiwe sipo hewani au simu ijam tu

Hapa nataka kuzuia all incoming calls kwa sababu kuna MTU ananisumbua sana no kubadili laini sitaki au kuzima simu ziwezi,
bora kuwa mkweli kuliko kuangaika mwambie ukweli na ukweli si dhambi asipokuelewa atakuelewa muda mwingine kuliko kujaa mawazo yasiyo sahihi moyoni na kujiangaisha bure
kila MTU ana haki yakusema apatapo shida kama huna uwezo Wa kumsaidia mwambie.
shauri yakio
 
Back
Top Bottom