Ni kampuni gani nzuri kwa Wi-fi ya nyumbani

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Wataalamu
Nilikuwa napenda kujua ni kampuni gani naweza kupata huduma ya Wi-fi nyumbani kwa gharama nafuu!! Na kwa matumizi ya mtu mmoja au wawili!! If possible niitumie ktk Smart Tv.
Asanteni
 
matumizi ya nyumbani huna ujanja tafuta tu mtandao wa 4G.

kama una matumizi makubwa mtandao kama smart unlimited wanatoa, kwa dar 70,000 na nje ya dar 20,000 (3G).

kama ni matumizi ya kawaida tafuta line za chuo mfano TTCL utapata 7GB kwa 5000 kwa mwezi, unaweza jiunga mara nyingi.

sema utahitaji router inayotumia line ili kuweza kutengeneza wifi nyumbani.
 
Thanks Bro kwa ushauri
Godbless you
 
Back
Top Bottom