Anti virus inagoma kuwa installed

Anti virus inagoma kuwa installed

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habarini wadau,Hivi nini kinasababisha anti virus kugoma kuwa installed katika kompyuta
 
Ndiyo sababu ipo/zipo, mojawapo ikiwa ni kuwepo kwa antivirus nyingine na ingine ambayo ni kubwa zaidi ni kutokuwepo kwa mtandao wa internet(internet access).

Pambana na hali yako kisomi zaidi.
 
Back
Top Bottom