Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau!.. Nina swali ningependa uliza najua moderators wanapitia hizi nyuzi pia. Makampuni kama Google wamejitengea dau lao kubwa tu kwa mtu atakayeweza gundua any loopholes kwenye system...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta simu aina ya LG Nexus 5X iliyotumika au mpya. Bei zake zikoje, na zapatikana wapi Dar es Salaam?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
nina Samsung note 4 nikitaka kupiga inaniambia not registered on network msaada plz..!!
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Habari wakuu, aisee naomba kujua kama kuna namna yoyote yakudhibiti matumizi makubwa ya Mb,hasa nikitumia Instagram, yaani mb 600 Ku katika kwa nusu SAA inakuwa kawaida endapo nikichek short...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada wenu wadau, laptop yangu ilizimika nikiwa naangalia movie baada ya umeme kukatika, ulivo rudi nilipo iwasha iliwaka kawaida na nakuandika jina la brand baada ya hapo haioneshi kitu. Ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu,Nimejaribu kuziweka chanel hizo katika Media Player Moja ambapo utaweza kupakua na kuangalia zote. pakua hapa [Android App: eMomba]
2 Reactions
48 Replies
13K Views
Hizi hapa....... *#06# IMEI Number *#1234# Software version *#12580*369# software and hardware info *#7353# Quick test *#0*#Test mode *#0011# service mode *#0228# battery status *#0808# USB...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba Msaada Nna photocopy mashine ni canon NP 6317 imegoma ku fanya kazi inaniandikia E 004 Je Nifanyeje ku solve Tatizo?
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari zenu wakuu, naombeni msaada wa plugin ya room reservation in Wordpress. Means iruhusu kufanya booking ya room and checking availability of rooms.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
I receaved many requests asking me how to do stuff so i think is best if i post them here and everyone could ***faidika*** on it. Today i'll post about taking full control of a system. Hacking...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hii ilitangazwa mwezi wa 6 lakini bado sijaelewa, kama kuna anejua naoamba anielekeze,mm nataka kutoka tigo kwenda TTCL lakini nataka namba yangu hii hii(sio special number)nifanyeje,yan watu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam forum. nina software ambayo inauwezo wa kukutumia mambo yanayo fanyika katika computer yako hata kama umesafiri itakutumia kila kitu kilicho angaliwa kwenye computer yako. unaweza kutumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
...BUTcan you guess what it is!? Look closely and guess what they could be... Are they pens with cameras? Any wild guesses? No clue yet? Ladies and gentlemen...! You've just...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hacker's Tool Set Features: • IMC Grahams Trojan • IMC Ice Dragon • Myspace Password Cracker • IMC Myspace Phisher • Ultra Surf • Rapid Share *** Gen • MSN Nudge Madness • Ice Reloaded...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
HOW TO GET FAST LOAN BY USING YOUR PHONE - Enockktech
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Author: Courtland L. Bovee This article teaches you how to reach that portion of the Internet that is not readily accessible with the best known search engines. The author provides additional...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomben msaada ni laptop yenye specification zip na kutoka kampuni ipi nitapata kwa matumiz ya chuon tu budget yangu ni 1.4M
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kichwa cha habari cha husika Display ya pc imefika vipande na imetokea tu ghafla sijaidondisha Masada wenu wakuu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukumu..baada kuingiza mfumo mpya wa udahili wengi imekuwa kero bora mwanzo tu,,,,,,,,,kwani.....Kinachoendelea mwenge catholic university,,na TCU hatuelewi,,,tumechaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom