Msaada Please, Simu inapoteza Network

msuya4real

msuya4real

Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
60
Likes
22
Points
15
Age
30
msuya4real

msuya4real

Member
Joined Oct 14, 2016
60 22 15
Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi, Naomba mwenye kujua hili tatzo anisaidie mawazo au nimpate Fundi gani wa kunirekebishia hili tatzo
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,535
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,535 280
Ngoja waje
 
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
723
Likes
602
Points
180
Times9

Times9

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
723 602 180
Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi, Naomba mwenye kujua hili tatzo anisaidie mawazo au nimpate Fundi gani wa kunirekebishia hili tatzo
Simu gan sasa? Nokia tochi, Siemen, Iphone, Samsung, Tecno au simu ya mezani? Au ni model ipi? Tatizo hauko serious na ulichoulza na ndio maana mtu unashindwa pa kuanzia kutoa msaada au ushauri....
 
msuya4real

msuya4real

Member
Joined
Oct 14, 2016
Messages
60
Likes
22
Points
15
Age
30
msuya4real

msuya4real

Member
Joined Oct 14, 2016
60 22 15
Simu gan sasa? Nokia tochi, Siemen, Iphone, Samsung, Tecno au simu ya mezani? Au ni model ipi? Tatizo hauko serious na ulichoulza na ndio maana mtu unashindwa pa kuanzia kutoa msaada au ushauri....
Simu ni Smartphone Aina ya Lenovo Vibe X2pt5
 
Hans Pol

Hans Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
2,328
Likes
1,445
Points
280
Hans Pol

Hans Pol

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
2,328 1,445 280
Hebu angalia IMEI piga *#06#
Kama zipo leta feedback
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
24,276
Likes
12,535
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
24,276 12,535 280
Angalia setting kwenye preferred network kama umeweka 3G/4G only weka auto
 
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
396
Likes
245
Points
60
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
396 245 60
Huenda eneo ulipo hakuna network au inapatikana sehemu sehemu jaribu kupanda juu ya mti kama ukiona inaongezeka jua eneo hilo network inapatikana kwa shida.

Huenda simu yako ina uwezo mdogo wa kunasa mawimbi ya mawasiliano jaribu ku set radio band kama edge

Huenda umechagua 3g au 4g katika eneo ambalo hazipatikani jaribu seti 2g

Huenda simu yako ni fake hivo inatatizo la mawimbi kunasa kwa shida hilo tatizo hua kwa simu fake

Huenda vibati na terminal za minara ya network katika simu yako vimeachia humo ndani.jaribu fungua simu na kugusisha hivo vibati vizuri katika simu

Pili weka maelezo ya kutosha ili uweze saidiwa kama
Upo eneo gani?
Unatumia mtandao gani?
Tatizo linatokea kwa lain zote?
Umejaribu kubadili mazingira ikafanya hivo hivo?
 
M

Mboganyiru

Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
36
Likes
7
Points
15
M

Mboganyiru

Member
Joined Mar 22, 2012
36 7 15
Mimi natumia galaxy A3(2015). Shida ipo kwenye Voda, net inasoma H+ lkn haiwezi kufungua website. Whtsapp na fb inafanya. Utube inafungua pia japo kwashid....ikifanikiwa kufungua video nikaipeleka tubemate speed yakupakua inafika hadi 5mbs....faster! Naomba wataalam munisaidie pia!
 
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
396
Likes
245
Points
60
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
396 245 60
Mimi natumia galaxy A3(2015). Shida ipo kwenye Voda, net inasoma H+ lkn haiwezi kufungua website. Whtsapp na fb inafanya. Utube inafungua pia japo kwashid....ikifanikiwa kufungua video nikaipeleka tubemate speed yakupakua inafika hadi 5mbs....faster! Naomba wataalam munisaidie pia!
Jaribu ku clear all saved data katika browser na YouTube
 
Forum statistics

Threads 1,236,902
Members 475,327
Posts 29,271,842