Nehemiah Ngumba
Member
- Jun 6, 2015
- 9
- 3
Mm n mgen hapa JF naomben msaada namna ya kuedit user name na email ktka account yang ya JF
Hahhahaa watu wamemview au siowewe mgeni kweli yaaani toka juni 6 2015
wasiliana na mods wakusaidie
I wonder even me I joined this year on jf but they write that I joined on 2015Hahhahaa watu wamemview au sio
Hata mm nawashangaa shida yang nataka kuedit e-mail and user name lakin sion sehem hyoSaver.za Jf
Zinausingizi hatari
Mtu kajiunga keo inaonyesha juni 2015 6th
JF ni tofauti social network zingine. Kwahiyo unapojisajili hakikisha upo makini ktk kuchagua jina na email sbb itakuchukua muda kurekebisha sbb hakuna sehemu ya kuedit zaid ya kuongea na mods waedit. Njia tofauti na mods haipo lbd ufungue account nyingineMm n mgen hapa JF naomben msaada namna ya kuedit user name na email ktka account yang ya JF