SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,718
Hello,
Hii Tecno W3 SIM 1 ipo locked kwa ajili ya Airtel tu na inatumia 3G au 2G. Lakini SIM 2 unaweza kuweka line yoyote ila haitosoma zaidi ya 2G, ukienda katika SIM settings huwezi Ku switch iwe 3G, wamei lock isome 2G pekee.
naomba msaada namna ya kuiwezesha line ya pili kusoma 3G pia wakuu.
Thanks