Jinsi ya ku-jailbreak iphone 2g

Jinsi ya ku-jailbreak iphone 2g

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
897
Reaction score
2,520
AMANI IWE NANYI WANAJUKWAA...

Mdogo wangu simu yake ya iPhone 2G ilishindwa ku-unlock kawaida... Ikabidi nipekue Google nijue tatizo ni nini. Nikagundua kuwa iko locked na inahitajika ku-update au ku-jailbreak. Kuna njia nyingi kweli walielekeza lakini kila nikijaribu nashindwa, naomba kama kuna mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhari!

NAWASILISHA.

IMG_20171030_125142.jpg
IMG_20171030_125154.jpg
 
Mkuu hiyo simu anataka ai unlock apige na kupokea simu na kutuma na kupokea sms.
Maana hakuna app itakayokubari kuinstall huko.
Unaongelea network gani
 
Asante mkuu, ngoja nijaribu
 
Ujaribu nini mkuu maana sijakueleza chochote bali nimeuliza swali ili nikusaidie
Alikuwa anatumia Airtel, laini inasoma lakini ukipiga au kutuma sms namba haipatikani... simu imejifunga huwezi kutoa lock ili utumie kawaida!
Natumaini umenielewa mkuu...
 
Ina maana mwanzo ilikuwa akipgiwa anapata calls kawaida na sms.
Hiyo kama vipi tafta ipsw file la iphone 2g, then iwashie kwenye dfu mode kwa kuzima sim, ukachomeka usb kwa pc then hold home button ya iphone ukiwa umehold chomeka upande qa pili wa usb kwenye sim itawaka ikiwa kwenye dfu mode.
Hope kwenye pc kuna itunes software, simu itasoma fanya back up yake, lile ipsw file lako ulilodownload mfano uwe umelisave kwenye desktop.
Sasa kwenye itunes shikilia ctrl button kwenye keyboard kisha bonyesha restore/update kwenye itunes, itakulitea uchagua location lilipo ipsw file lako.
Locate deaktop then select ipsw file lako itaanza kurestore sim.
Iache irestore mpaka mwisho.
Ikimaliza itajiwasha ikiwapoa then unaweza rudisha mafile yako kutoka kwenye ile back up uliofanya
 
Asante ngoja nijaribu, ipsw nilishaipakua
 
Mkuu simu ya zamani sana hiyo ndio maana inaleta shida software zake apple hawazisupport tena. update walau upate 4s sio mbaya.
 
Back
Top Bottom