MSAADA : SD Card Data Recovery

Software Engineer

JF-Expert Member
Dec 20, 2014
344
136
Picha ninazopiga kwa kutumia simu yangu na kuzihifadhi kwenye memory card

1. Zinaonekana vizuri tuu masaa machache baada ya kupiga picha hizo
2. Zinakataa kufunguka au ku-preview baada ya siku moja au mbili baadaye

Wataalamu wa Data recovery naombeni msaada wenu
 
Back
Top Bottom