Msaada wa mchoro wa circuit yenye muunganiko wa diode(light) transistor, capacitor na device nyingine

buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Samaanini sana wadau

Nilikua nahitaji mwenye kujua mchoro wa circuit ya umeme ambayo inamuunganiko wa diode(light) transistor , capacitor na device nyngne nimeishau ila hiyo circuit mwisho wa siku inafanya kazi ya kuwasha na kuzima taa inapishana kama sekunde ivi

Nataka kukonect dot niunde kitu fulani ambacho kinaweza kushangaza watu

Note huo mchoro wa circuit nilikua nao pamoja na michoro mingine ila kwa bahat ilipotea katika mazingira tata kidogo

Plz naomba kama huna mchango usichangie kitu nenda ukacoment kwenye ule uzi wa like
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Jaribu ku 'gugo' bro
Kiongozi kama huna jibu unakaa kimya
Sasa nini maana ya kuwepo jamaiiforum ikiwa kila kitu kipo google?

Hata hao google wanategemea maelezo yako ili watu wasio na ufaham juu ya hzi forum wawe wanapitia huko google badala ya kuja direct kwenye jukwaa husika
 
Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
1,812
Likes
1,424
Points
280
Mbalamwezi1

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
1,812 1,424 280
Kiongozi kama huna jibu unakaa kimya
Sasa nini maana ya kuwepo jamaiiforum ikiwa kila kitu kipo google?

Hata hao google wanategemea maelezo yako ili watu wasio na ufaham juu ya hzi forum wawe wanapitia huko google badala ya kuja direct kwenye jukwaa husika
Nisamehe mimi mkuu kwa kujaribu kutaka kukuonesha njia!!Mimi huwa kabla ya kuuliza huku huwa napita 'gugo' kwanza kabla ya kuja jf coz kule kuna most of electronics soln for our problems na unaweza pia pata new ideas!Nway sio ishu mkuu coz cjakulazimisha ku'gugo' na nikatumia tu lugha ya kiungwana!!Subiri wajuzi wa mambo watakupa jibu mkuu!
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Nisamehe mimi mkuu kwa kujaribu kutaka kukuonesha njia!!Mimi huwa kabla ya kuuliza huku huwa napita 'gugo' kwanza kabla ya kuja jf coz kule kuna most of electronics soln for our problems na unaweza pia pata new ideas!Nway sio ishu mkuu coz cjakulazimisha ku'gugo' na nikatumia tu lugha ya kiungwana!!Subiri wajuzi wa mambo watakupa jibu mkuu!
Google niliptia ila sikupata vile nlivotaka coz wameelezea in general halaf hawajatoa formula so nkaona bora nije huku
 
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
131
Likes
148
Points
60
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined Sep 17, 2017
131 148 60
Hio A stable multivibrator through transistor, Mimi nakupa specifications za Items Capacitor tumia Elecroytic caps 100microfarad ziko mbili, Transistor tumia NPN general purpose yoyote, Resistor nne 1k mbili na 470K mbili ukipata variable resistor na variable caps utacontrol huo mpishano wa kuwaka kwa LEd poa sana
fc462ba9170292606ecc8128f05040ad.jpg
Ushauri wangu tumia 555timer ndio ina efficiency kubwa
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Hio A stable multivibrator through transistor, Mimi nakupa specifications za Items Capacitor tumia Elecroytic caps 100microfarad ziko mbili, Transistor tumia NPN general purpose yoyote, Resistor nne 1k mbili na 470K mbili ukipata variable resistor na variable caps utacontrol huo mpishano wa kuwaka kwa LEd poa sana
fc462ba9170292606ecc8128f05040ad.jpg
Ushauri wangu tumia 555timer ndio ina efficiency kubwa
Ahsante sana hapo kwenye diode ndo nilitaka niweke hicho kitu changu ambaco kina hitaji kama 10v ivi
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
3,885
Likes
3,138
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
3,885 3,138 280
Hizo circuit hutumika kutengeneza display kama zile za WELCOME AU OPEN. subiri kesho nakupa
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Hizo circuit hutumika kutengeneza display kama zile za WELCOME AU OPEN. subiri kesho nakupa
Itakua vema sana ila mm lengo langu sio kutumia kwa hzo light ninakitu kingine nataka kufanya ni tofauti kabisa na hizo mambo coz nmeshatengeneza circuit ya kirobot fulani sasa ili niwe na muunganiko sahihi ni lazma niipate volt ambayo inapanda na kushuka through huo muunganiko
 
Jof3

Jof3

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
559
Likes
186
Points
60
Jof3

Jof3

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
559 186 60
Itakua vema sana ila mm lengo langu sio kutumia kwa hzo light ninakitu kingine nataka kufanya ni tofauti kabisa na hizo mambo coz nmeshatengeneza circuit ya kirobot fulani sasa ili niwe na muunganiko sahihi ni lazma niipate volt ambayo inapanda na kushuka through huo muunganiko
Hongera ndugu kwa hatua hiyo ya kitaalam
 
maguluashimba

maguluashimba

Senior Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
155
Likes
127
Points
60
maguluashimba

maguluashimba

Senior Member
Joined Sep 13, 2017
155 127 60
Itakua vema sana ila mm lengo langu sio kutumia kwa hzo light ninakitu kingine nataka kufanya ni tofauti kabisa na hizo mambo coz nmeshatengeneza circuit ya kirobot fulani sasa ili niwe na muunganiko sahihi ni lazma niipate volt ambayo inapanda na kushuka through huo muunganiko
Funguka mkuu uweze kusaidiwa. Unaposema kirobot flani una maana gani??. To a Maelezo kamili wataalam wakupe nondo.
 
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
1,751
Likes
1,400
Points
280
mwambadog

mwambadog

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
1,751 1,400 280
Samaanini sana wadau

Nilikua nahitaji mwenye kujua mchoro wa circuit ya umeme ambayo inamuunganiko wa diode(light) transistor , capacitor na device nyngne nimeishau ila hiyo circuit mwisho wa siku inafanya kazi ya kuwasha na kuzima taa inapishana kama sekunde ivi

Nataka kukonect dot niunde kitu fulani ambacho kinaweza kushangaza watu

Note huo mchoro wa circuit nilikua nao pamoja na michoro mingine ila kwa bahat ilipotea katika mazingira tata kidogo

Plz naomba kama huna mchango usichangie kitu nenda ukacoment kwenye ule uzi wa like
how-to-using-diodes-as-a-photosensor-1-jpg.621720
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Funguka mkuu uweze kusaidiwa. Unaposema kirobot flani una maana gani??. To a Maelezo kamili wataalam wakupe nondo.
Najua nikikwambia utanivunja moyo coz hcho kitu inabidi ufikilie sana ndo uweze kukielewa na kuamini kwamba inawezekana na kama unavojua electronic device nyingi ugunduzi wake huanza kwa imagination au try and error so we subiri mrejesho
 
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
131
Likes
148
Points
60
FOdd

FOdd

Senior Member
Joined Sep 17, 2017
131 148 60
Kama ni ivo apo kwa Led kama unavo ita diode japo zinaitwa Light emmiting diode Weka Relay ya kuswitch volts 5 au 9v ila sasa utakuwa na supply mbili differ moja ya kudrive circuit ambapo ita switch Relay na kuwasha hio load yako ya 10V cha kuongezea uunge flywheel diode parallel na Relay coil ili ku neutralise ile reverse induction ya Coil
 
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,269
Likes
4,781
Points
280
buzitata

buzitata

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,269 4,781 280
Kama ni ivo apo kwa Led kama unavo ita diode japo zinaitwa Light emmiting diode Weka Relay ya kuswitch volts 5 au 9v ila sasa utakuwa na supply mbili differ moja ya kudrive circuit ambapo ita switch Relay na kuwasha hio load yako ya 10V cha kuongezea uunge flywheel diode parallel na Relay coil ili ku neutralise ile reverse induction ya Coil
Ahsante mkuu.... Diode zipo za aina nyingi ndiomaana nimetumia neno diode na nimeishia kwenye light ili ieleweke kwa upana zaidi
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
1,862
Likes
1,236
Points
280
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
1,862 1,236 280
kuna options nyingi sana kuwezafanya hii,

1. astable multivibrator,
2. 555timer (efficient na cheaper ),
3. microcontroller (apa utaset mda wa kuwaka na kuzima, alot more efficient and versatile,
4 .capacitor+resistor+unijunction transistor,
5. wien bridge oscillator, 4 resistors+capacitor+opamp (LM 741)
 
Forum statistics

Threads 1,238,281
Members 475,878
Posts 29,314,868