ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,408
- 6,315
Habr zenu wakuu.
Natanguliza shukran kwa wote muliojukwaan.
naomba ufafanuzi Wa galaxy note edge kuna Rafiki yangu anauza hii simu kwahiyo sijawahi kuzitumia hizi simu.
Kwahiyo naomba nieleweshwe juu ya ubora Wa hii simu nataka kuinunua kwa mitikash 15500 nikiasi kama cha shilingi laki NNE na kidgo.