Jamani mwenye link ya kufuta apilicition ya kufuta following wote istargram

Hakuna application ya kufuta following wote kwa wakat mmoja..zipo za kufuta kidogo kidogo
 
mie nahisi kuna mtu kaihack account yangu insta,hainipi option ya kuwatumia message watu insta:eek::eek::eek:
 
Back
Top Bottom