PS3 modding & cfw installation

PS3 modding & cfw installation

Boro Nanga

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Posts
299
Reaction score
196
Habarini wapendwa wote kama kuna yeyote anayehitaji huduma ya ku downgread, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an PM pia huduma ya kuweka games aina zote kwenye moded slims ani PM bei poa 2 hakuna mfanowe.
 
Shngap kuweka games kwenye moded ps3 mkuu na tupe list ya games ulizonazo
 
habarini wapendwa wote kama kun yeyote anayehitaji huduma ya ku downgreag, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an pm pia huduma ya kuweka games aina zote kwenye moded slims ani pm bei poa2 hakuna mfanowe
really ps3 super slim 4.81 OFW unaweza idowngrade to 4.55 ofw the tuingize ferrox au rebug cex 4.81 bila cobra
but kwa kutumia E3 flasher
 
Habarini wapendwa wote kama kuna yeyote anayehitaji huduma ya ku downgread, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an PM pia huduma ya kuweka games aina zote kwenye moded slims ani PM bei poa 2 hakuna mfanowe.
acha kudanganya watu, it is impossible to downgrade/jailbreak ps3 superslim na baadhi ya slim models labda uwe unamaanisha backup injection ambayo siyo jailbreak.Njia pekee ya kujailbreak ps3 ni kuidowngrade mpaka firmware 3.55, kitu ambacho hakiwezekani kwa superslim model
 
kw baht nzur au mbaya hakuna mahal nlposema nahtaj msaada au maon au mawazo ya m2 yeyote km unaona ni uongo n vzur ukaanzsha uzi wa kwako wenye ukwel ,ha2po kw ajil y kufny complain na m2 jst mind u'r own bsness hiz matangazo n ze2 sis 2meweka kw ajil ya wanaohitaji na c kwa wanaojiona wajuaji
ndo unaulizwa sasa kama kweli unaweza kudowngrade na jailbreak ps3 super slim mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom