Msaada application

Msaada application

swaki la jiti

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
97
Reaction score
60
Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
 
Sasa mkuu hata os ya simu hujasema kwaio itakua ngumu kusaidiwa
 
Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
Hakuna anti-virus ya simu iliyo 100% perfect, dawa ya virus kuwaondoa kabisa kwa uhakika ni kupiga/Flash ROM mpya tu, hayo mengine ni kujaza apps zisizokua na maana na kudrain bettery bure....
 
Back
Top Bottom