Naomba mwenye ujuzi wa ku-trace simu anisaidie

kama ni smartphone na unaijua email na password yake unaweza itrace simu yako kama ipo online utaona alipo.

alternative nenda polisi cybercrime na imei kama unayo au namba ya simu watakusaidia kutrack.
 
huko hakuna msaada wowote mkuu, yani ni pesa mbele, mimi niliibiwa begi langu likiwa na laptop na vyeti vyangu nikiwa chuo pamoja na simu yangu but till now nothing is done
 
kama ni smartphone na unaijua email na password yake unaweza itrace simu yako kama ipo online utaona alipo.

alternative nenda polisi cybercrime na imei kama unayo au namba ya simu watakusaidia kutrack.
Hapo kwenye email na password inakuaje chief?
Kwa polisi usanii unakuwa mwingi
 
Ni kweli police usanii umezidi niliibiwa simu mwaka Jana nikaenda police kitengo cha cybercrime wakadai niwape imei na namba ya simu iliyokuwemo kwenye simu, hakuna chochote kila nikiwapigia wansema bado na walisema ikipatikana watanipigia mpaka Leo hakupatikana
 
labda haijapatikana kweli, kama imeuzwa vietnam ama india utaipataje?
 
Back
Top Bottom