JINSI YA KUWEKA PASSWORD PARTITIONS ZA HARD DISK

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

JINSI YA KUWEKA PASSWORD PARTITION ZA HARD DISK.

HATUA
1. Right Click Hiyo Partition, Kisha Bofya TURN ON BITLOCKER

2. Utaweka Weka Tiki Kwenye USE A PASSWORD TO UNLOCK THE DRIVE. Chini Yake Kuna Maelekezo Ya Vipi Password Yako Iwe.

3. Utaweka Password Yako Kwenye Box La Kwanza, Kisha Utairudia Kwenye Box La Pili.Bofya NEXT.

4. Double Click SAVE TO FILE, Kisha Chagua Sehemu Ya Ku Save (Upande Wa Kushoto), Kwenye FILE NAME Utaandika Jina Lolote. Kwenye SAVE AS TYPE Utachagia ALL FILES , Bofya SAVE Kisha YES.

5.Bofya NEXT Kisha Chagua ENCRYPT ENTIRE DRIVE (SLOWER BUT BEST FOR PCs AND DRIVES ALREADY IN USE) Kisha Bofya NEXT.

6. Bofya NEXT, Kisha Bofya START ENCRYPT.

7. Utasubiri I-load Mpaka Imailize (Itachukua Mda) So Kwa Kufanya Mambo Yawe Mepesi, RESTART .

8. Uki RESTART, Baada Ya Kuwaka,
Hiyo Partition Itakuwa Ina Password.

KAMA SIJAELEWEKA, UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HAPO CHINI

NB: Kutokana Na Mada Kuwa Ndefu, Kitu Kinachokuja Kutokea Ni Kwamba VIDEO INA PART 1& 2.
Hii Ni Part 1, Kwa Mahitaji Ya Part 2 Nenda Kwenye DESCRIPTION Ya Video Hii (Part 1)



Part 2 Inaelezee Namna 2 Za Ku Unlock Password Uliyoiweka, Aina Ya Kwanza Ni Kwa Kutumia Password uliyoiweka, Na Aina Ya Pili Itakusaidia Endapo Utakuwa Umesahau Password.
 
Mkuu nimejaribu imekaa poa.Ila partition ya hhd ilikuwa na 205GB nilitumia 54GB baada ya kuweka hii app ya password inaniambia nna 5.6GB iliyobaki,maana yake 205GB-54GB-5GB=146GB,sasa hiyo ilobaki imeenda wapi?KWAN HII KITU INAKULA SPACE KUBWA HIVYO?
 
Mkuu nimejaribu imekaa poa.Ila partition ya hhd ilikuwa na 205GB nilitumia 54GB baada ya kuweka hii app ya password inaniambia nna 5.6GB iliyobaki,maana yake 205GB-54GB-5GB=146GB,sasa hiyo ilobaki imeenda wapi?KWAN HII KITU INAKULA SPACE KUBWA HIVYO?
Sijajua, Ila Mi Kwangu Mbona Shwari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom