Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba mnisaidie kwa anaefaham kuverify Acc ya instagram Kama ukinichek Tsapp ITAPENDEZA ZAID 0718712554
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Wengi wetu tumekuwa tukinunua bidhaa kupitia mitandao bila kujua kuwa tunaweza kuingia kwenye hatari ya kuibiwa.kuna mitandao mingi sana inayotoa huduma ya kuuza na kununua bidhaa mtandaoni mfano...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable!
0 Reactions
4 Replies
949 Views
Naomba kusaidiwa kuinstall Whatsapp kwenye simu hiyo hapo GT-S7582 Nimejaribu mara kadhaa baada ya kutoa permission inaanza kuinstall then inaleta ; Out of space WhatsApp couldn't be installed...
1 Reactions
3 Replies
945 Views
Habari wakuu, bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja. Mm natumia simu hizi za Android sasa ni application ipi itaniwezesha kupakua nyimbo YouTube. Mwenye kufahamu naomba...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
...And other three new models of iPhones will be released today. Mpaka sasa jamaa wameuza 46.6 million phones kwa kipindi cha kuanzia Jul mpaka September mwaka huu. Jamaa wametengeneza profit...
6 Reactions
235 Replies
22K Views
Kama kichwa knavyo jieleze nmenunua CM wk ii Aina ya Samsung j5 2016..kwa jamaa wa kitaani lakini baada ya kui restore imekuja bila play store Na ni original lakini inaonekana niya china coz app...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wakuu?. Nina simu yangu aina ya iPhone 3G imepasuka kioo na kugoma ku touch, naomba kujua gharama zina range kiasi gani kubadilisha kwa hapa Dar es Salaam. Kama mnavyojua wajanja ni wengi...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu Nina shida jinsi ya mkutrace mtu aliekimbiza simu yako kujua wapi anapatiana na anaendelea kuperuzi na kutanua na simu yako.. Nimesikia Kuna wataalam humu Wana ujuzi wa kumfuatilia mtu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa Ebana wana uwanja, ni mara yangu ya kwanza kununua ipad, so ni ekuja kukuta mambo tofauti sana, mfano swala zima la app ya whattsap naona haipo humu, bali kuna whatspad sijui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naulizia teknolojia tofauti na CCTV Camera, ambayo naweza itumia kulinda eneo langu la biashara hasa duka ili kuweza kuwabaini vishoka wa kukwala kwenye haya maduka yetu. Mfano...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu mdada katengeneza partens lakini kasahau msaada jinsi ya kutoa ili aendelee kuitumia.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu ivi kuna njia yoyote ya kuniwezesha kureceive Money from SA direct to my Mobile money account via mpesa? Nimejaribu through Swift code kw kutumia visa card ila sender anasema inamgomea is...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Naombeni msaada nijue jinsi ya kuangalia online tv kwa kutumia url au ip address ya hiyo tv kama vile azam tv, itv au star tv, je kunazo URL kwaajili ya huduma hiyo..?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimebadilisha simu vaulty app imeshindwa kurudisha picha zangu. Naombeni msaada. Email ni ile ile na namba ya simu in ile ile.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi natumai hamjambo, mnaendelea kujenga viwanda. Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu huduma za kifedha kwa njia ya simu, mathalan M-pesa, tigo-pesa, airtel money zinavyofanya kazi. Mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nmroreboot coz nilikua nmesahau pattern ila inaridia hali ya mwanzo ya pattern .kwa anaejua msaada plz
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari za usiku., Bila kuchelewa hapo kichwa cha habar kinajieleza, mimi kuna swala huwa najiuliza nakosa majibu ni kwanini inakuwa hivyo., Kwanza; Simu nyingi hasa smartphones(zilizonyingi...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom