monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
Natumia ]
Nimetumia hiyo njia lkn haijaleta mafanikio mkuuWasha data, Restart simu then ingia uone
Nimetumia hiyo njia lkn haijaleta mafanikio mkuu
Hapa hata data hujawasha, angalia status bar yako....Natumia Tecno j8 nimei-root miezi kazaa iliyopita play store haifunguki wakati internet yangu IPO vizur naweza hata kudownload movie kwa muda mfupi
Tatizo limeanza baada ya kufuta cache data baada ya hapo playstore, gmail na emaili zimegoma kufungukaView attachment 631095
YapUmeroot simu yako!?
Si naweza futa vitu vyanguFanya factory reset,back up data zako kabla ya kufanya hili,halafu leta mrejesho hapa
NimeshadownloadSimple mkuu... Download root browser kisha rudi hapa nikupe maelekezo
ufafanuzi waziada, nikishafuta then....Futa apps zilizopo pending kwenye playstore
Futa apps zilizopo,au nenda settings alaf kwenye playstore futa cache itakua sawa.U
ufafanuzi waziada, nikishafuta then....
Ok, fungua Root browser, nenda kwenye "system" , kisha fungua "etc" utaona gile limeandikwa "hosts" lifungue kwa kutumia text editor, kisha futa kila kilichandikwa hapo na uandike kama inavyoonekana kwenye picha... *andika mstari wa kwanza tu* wa pili achana nao Save then fungua playstoreNimeshadownload