Whattsap kwa Ipad

Whattsap kwa Ipad

Abdul Bilal

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
88
Reaction score
15
Habari wapendwa
Ebana wana uwanja, ni mara yangu ya kwanza kununua ipad, so ni ekuja kukuta mambo tofauti sana, mfano swala zima la app ya whattsap naona haipo humu, bali kuna whatspad sijui nn.
Kisha nikitaka kusajili ili nianze kuchat bado shida.
Msaada plz.
Shukran
 
I Pad haina WhatsApp wala kuchat kwa sms. Ipad ni device yakuwezesha kupata internet na application zingine za IOS
 
Back
Top Bottom