Kuna mtu amemtoroka na sim yangu Jinsi ya kumsaka mtu aliekutoroshea smartphone yako

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Wakuu Nina shida jinsi ya mkutrace mtu aliekimbiza simu yako kujua wapi anapatiana na anaendelea kuperuzi na kutanua na simu yako.. Nimesikia Kuna wataalam humu Wana ujuzi wa kumfuatilia mtu na kujua wapi anapatikana
..
 
search google device manager, kisha ingia halafu login na email yako uliyosign kwenye hio simu utaweza kui trace.

na assume ni simu ya android na hajai format.
 
acha kuumiza kichwa, kupoteza mda na ela, ikaushie tu iyo jichange utafte nyingine mkuu
 
Back
Top Bottom