Jaman naomba msaada kwenye simu ya Samsung j5

Jaman naomba msaada kwenye simu ya Samsung j5

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,920
Reaction score
4,216
Kama kichwa knavyo jieleze nmenunua CM wk ii Aina ya Samsung j5 2016..kwa jamaa wa kitaani lakini baada ya kui restore imekuja bila play store Na ni original lakini inaonekana niya china coz app zake nyingi zina lugha ya china
Najaribu ku download lakn aisaidii kitu play store ina funguka lakini aioneshi kitu pia Na google account ina fail kujiunga cjui ni kwa nn
cfcd3a71615e87090655ae6164c34292.jpg
3fc143569c62ff04281813d7e9cf07d2.jpg
1c32e4e6522e4472e327d73ab6dbf869.jpg
ce52fa1809aa203dd445c2fb9e1a1d26.jpg
 
Duh kwamba ni original! How did you know that before..!?
 
mkuu fanya mambo haya.

1. nenda setting kisha about kisha angalia model ya hio j5 ni ipi? ipost hapa au tuma screenshot yake.

2. download app ya cpu z kisha i run halafu kwenye soc iandike hapa au tuma screenshot yake.
 
5afeb505c9b3abc2e3418a0a0085b0f7.jpg
 
Cm kimeo hamna namna umeingia mkenge ,ndo matatizo ya kutaka mteremko wa bei
 
hii ni ya china, sio china fake, bali imetengenezwa itumike china na kule hawatumii playstore.

umefata steps gani kueka hio playstore yako?
Nlipeleka kwa jamaa ua ana weza IT kdgo aka connect Na computer akaanza ku weka ma file nd ikaja iyo play store lakini aifanyi kazi....mwanzoni ata internet ilkua ina sumbua ila nilivyo mpa ikaanza kufanya kazi n
 
muulize huyo jamaa yako sasa ameeka play service? kueka tu apk ya playstore hakusaidii inabidi na framework zisizoonekana nazo aziweke, kama google framework, playservice etc.

pia alternative flash rom ya hongkong ya simu yako, hongkong wanazo hizo app zote.
 
Back
Top Bottom