Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

JAMAN KWA LEO NIPO HAPA KUTOA UNLOCK CODE ZA NETWORK LOCK NAMAANISHA SIM AMBAZO ZINATUMIA LINE YA MTANDAO MMOJA 2 MIMI NAPATIKANA KARIAKOO GUYS NI MUDA MUAFAKA WA KUTUMIA HII CHANZE MNAKARIBISWA...
1 Reactions
74 Replies
14K Views
Kwa wajuzi wa kutizama weakness za mifumo mbali mbali za ki electronic na watumiaji wa kaliLinux Os plz tukutane inbox
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Nianze kwa kusema "hamjambo" hope mposalama sana wana wa teknolojia. anyways, dada yenu hapa ni na swali kama title inavyoonekana hapo juu!!! naomba kufahamu kama Pc monitor kama zile za dell au...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Hakuna mtu asiyependa muonekano wa ndani wa iPhones,japo wengi wanapenda simu za android lakini wanatamani simu zao ziwe na UI(user interface) za iPhone,sema tu kwa vile haina uhuru wa matumizi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za mida. Natafuta complete display ya samsung galaxy e7 hii ni baada ya kuvujia wino ilipodondoka, kwa hiyo nataka replace niendelee kutumia. Ama pia ikipatikana simu yenyewe yaani...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wadau niliacha kutumia what's app mda mrefu lakini hivi karibuni nimeirudisha Ila haijarudisha contact zangu za zamani zote ingawaje nimeouto sync .msaada Kwa anayejua jinsi ya kurudisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani...
22 Reactions
122 Replies
14K Views
Mamb vp wadau leo nina habar njema kuwajuza kuwa sasa unaweza kuchukua status ya mtu WhatsApp bila kumuomba aliyeweka status hiyo akutumie yaan kila kitu unamaliza mwenyewe jinsi ya kufanya hivo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu nimekutana na hii laptop ebay mtandaoni ina specs nzuri mno kama core i7 hdd 1tb inauzwa kama usd 150 katika malipo imeonekana inatakiwa niwapatie kadi yangu ya benki pamoja na namba ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna jamaa alinambia una-copy kisha una-pest lakini nashindwa kufahamu jinsi ya kufanya hivyo. Kama kuna yeyote mwenye maelezo sahihi anisaidia ikiwezekana aweke na picha Kwa android phone
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kuondoa two step verification code kwenye WhatsApp ktk simu ya samsung J7 prime plus, Hii ni baada ya kurestore simu hiyo ambayo niliinunua kwa mtu ila aliyeniuzia sijachukua...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wakuu naombeni msaada wa kufanya recover bila kufuta data yoyote coz pc ina document muhimu sana ina kazi ya za watu tano mbili website tatu ni software na project zangu mbili muhimu sana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wakuu... Natafuta software ya kuedit video. Nimejaribu kutumia wax, Windows movie maker lakini zinasumbua kusave na kufungua baadhi ya format za video. Naomba mnisaidie software ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wadau, Nina kamera aina ya Nikon CoolPix S3300, Kwa sasa ina tatizo la kutochomoa lens pindi napoiwasha kwa ajili ya kupiga piga, Na baada ya muda inaleta ujumbe wa "Lens Error"...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Simu yangu ni Samsung galaxy s 5 niliiflash mara ya kwanza haikuwa na android ya lollipop asa nataka kui update iwe na android ya mwanzo nifanyeje?@chiefmkwawa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Instal antivirus yako , baada ya kuinstall activate trial version ambayo utapewa 30 days bure! Baada ya 30 days ya trial kuisha kaspersky itataka ulipie, basi ww fanya kudownload Kaspersky rest...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wadau, Ni printer ipi nzuri kwa........... Printing Kusafishia picha Kutoa copy 100 kwa siku
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa mimi ni kuweza kuweka hewani app ya kijamii isiyo ya kuingiza faida ya kuwezesha watu kujitolea kuchangia damu. Vipi wewe???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada nimepata printer mpya kazini na boss kaniambia hii printer ni Wireless unaweza kuprint sehemu yoyote sasa nahitaji msaada jini ya kuconnect wireless iwe kwa simu au computer
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Natafuta iphone 6 kwa 450k. Isiwe imetumika sana, iwe ktk hali nzuri. Iwe OG tofauti na hvo ucjisumbue kunitafuta
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Back
Top Bottom