Outlook Ku fail Kutuma Mail

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Kwanini inatokea wakati outlook inashindwa kutuma mail na the same mail inaenda kwa Gmail...yaani unakuta outlook inakuambia mail undelivarable!
 
Achana nao hao mi nilikuwa natumia outlook ila sasa mpka juzi email yangu imebuma na kila nikitaka kuirecover nashindwa na ni long process
 
Yangu ipo poa.

Inafanya kazi kama kawaida

Back
Top Bottom