Habari za muda wakuu. Natambua uwepo wa wataalam katika eneo hili.
Nataka niuze kitabu changu kwa njia ya softcopy. Naombeni kujua namna sahihi na site salama kwa ajili ya mauzo hayo ya online
Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho.
McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo...
NAS STORAGE SERVER
Hebu wazia NAS(Network Attached Storage) kama "Hard Disk" kubwa, yenye akili, na nguvu nyingi inayokaa nyumbani au ofisini kwako, lakini badala ya kuichomeka kwenye kompyuta...
Jamani
Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu
Your token has expired
Awali nilifanya yafuatayo kuondoa
1. Nikiingia kwenye dot...
Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za...
Binadamu amefikia hatua ya kushangaza katika kutumia sayansi na teknolojia kuunda bidhaa mahiri zinazorahisisha maisha, kuokoa muda na kupanua uwezo wa asili wa mwanadamu. Kile kilichokuwa ndoto...
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
Uchambuzi wa kina kuhusu utofauti wa IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security.
Post hii nimewandalia hususan wanafunzi waliomaliza sekondari wakitarajia...
Habari za kazi wakuu,
Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team)...
Pc yangu ni hp ryzen taa ya pc nikiweka chaji inawaka na kuzima rangi nyekundu, nikajaribu kutoa betri inaendelea vile vile ila safari hii ni taa nyeupe,,nimejaribu kuwasha lakini...
Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Ni takribani week 1 sasa.
Nimekuwa nikipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa...
Nalileta kwenu wataalam,
Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo...
Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu:
👇
Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku.
Kama friji...
Sahau kabisa muundo wa Zamani (Menu ya Zamani), toleo jipya la FC 27 The Grounds ndiyo moja ya mabadiliko makubwa yanayotarajiwa kuja kwenye EA Sports FC 27.
Badala ya kuchagua mechi kupitia...
Kwa budget hiyo nitapata simu ya aina Gani nzuri yenye camera ang'avu quality, betri yake itakayokaa na chaji muda mrefu, na storage yake capacity nzuri