Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

tunahitaji watu wa kufanya software devoloper tafadhali tuwasiliane
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello bosses. Unajua app developers wengi(according to my simple research) tuna tatizo ambalo wengine husema tunakosa creativity na kugundua vitu vipya. Lkn kiukweli wengi wetu ni computer...
6 Reactions
136 Replies
12K Views
Simu yangu system update yake imegoma. Inaniambia hivi .naombeni msaada jinsi ya kutatua shida hii
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nifanyeje nataka namba yangu hii ya tigo mtu akinipigia aambiwe haipatikani yaani asinipate lakini at the same time niendelee kutumia data zake katika mtandao Nakala kwa CHIEF MKWAWA
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya Shida yangu ni moja tu! kwa yoyote ambae ana simu aina ya C2-Nokia 002....iliyokwishatumika please naomba aniuzie kwa gharama Nafuu...
1 Reactions
2 Replies
44K Views
Wakuu salaamu. Nimekuja kwenu kujua naamini humu kuna maduka ya simu na waliowahi kununua. Kuna ndugu zangu huko mkoani wanataka wamiliki shida wametuma vilaki. Nipo busy kidogo naomba kujua ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu humu kwenye jukwaa.kama kuna mtu ana utaalam na mambo ya electronics projects kwa level ya degree ani pm...nina shida ya kuunganisha arduino camera na wifi module ipeleke kwenye web...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Kama kuna mtu anafahamu namba ya huduma kwa wateja ya halotel tofauti na 100 anijulishe
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Naomba Msaada Kublock Post za Magroup ya Watsapp bile kuLeft Nina Magroup mengi maudhui yakufanana ila member tofauti Ni Muhimu kwa kipindi cha chaguzi ila sio kwa sasa yananilia MB tu
1 Reactions
64 Replies
13K Views
Naomba Kujua kama Galaxy A700H ya 2015 yenye OS 6.01 Inaweza kuupgradiwa zaidi i.e kwenda 7/zaidi?
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Wakuu heshima iwe kwenu niko hapa kuomba msaada kwa anayefahamu app kwenye simu za android inayotumika kutengeneza matangazo yaani kuchanganya sauti kama vile matangazo kama ilivyo virtual dj
1 Reactions
18 Replies
12K Views
Habari za mchana wapendwa hongereni na swaumu kwa waislamu wenzangu Nina iPhone yangu ilizima gafla tu nikapeleka kwa fundi akaniambia ni betri nikanunua betri lakini haikuwaka mpka akaiboost...
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Wakuu poleni na majukumu, nahitaji kununua PC nimekutana na hi kwa 600k vipi iko poa ama kimeo.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanateknolojia. Nimenunua modem mpya (3.5G HSUPA, 7.2Mbps), SIMCARD inadetect, tatizo lake mnara hausomi (inaandika x sehemu ya bars za mnara). Nini suluhisho la tatizo hili? Natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu nataka kununua drone mwezi ujao naomba maoni yatakayo nisaidia kumiliki drone nzuri kwaajili ya biashara.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Simu yangu inaniambia unfortunately google update has stopped.shida nini wataalamu nifanyeje ili nitatue tatizo au ndio vikwazo vya marekani kwa kampuni ya HUAWEI.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF? Hili ni wazo nimekua nalo kwa muda kidogo, ila nilihitaji kujua ni vitu/mambo gani ninahitaji kuwa nayo ili nianzishe biashara ya website na software development? Nilihitaji...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za humu natafuta mtu ambaye anaweza kutengeneza electronics project kwa level ya degree.kama yupo nipm
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ya aina gani mngepenga kujenga. Ninataka kujua hamu na akili wa ndugu zangu Chagueni bayna nyumb A) B) C) D) E) F) G)
0 Reactions
1 Replies
45K Views
Jamani nisaidieni tatizo la simu yangu nilikua mtandaoni katika kuperuzi ikaganda tu ghalfa nikatoa betrii kuiweka ikawa inawaka tu tecno basi yaani hata niiache siku nzima itakua hivohivo tu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…